georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,892
mmmmmmh
Habari zenu,jaman me c mwenyeji sana humu ila huwa napita mara nyingi kujifunza vitu mbalimbali,kubwa lilinifanya niwe huku leo;me ni binti nina 25yrs ila kwakweli me cna maujanja kwenye yale mambo yetu kunako kitanda sasa huwa nahisi mwenzangu hafurahii kabisa ila anashindwa kusema.nawaomba ndugu zangu nimnisaidie ni mambo gan naweza fanya kwa mpnz wangu ili wote tufurahie kuwa pamoja.sry kwa post ndefu.
i am very serious....sitaki kwenda PM asije kusema 'sitaki mjaze inbox yangu'.....practice makes perfect
makungwi wapo humu cc Madame B
Mbona mie haujaniita jamani?
si ndo gia zenu!! Mtayadaka ma zombiiiiiiieeeeeee,,,!!
Ati si kazoefu kumbe mraba uko ( ... ... ... ... )
haha ha ha haaaa
Ndio za nan....... mm nlijifundisha mwenyewe kichwan kwang wala skuomba ushaur wa mtu
wewe utakuwa mtamu sana ila jamaa hajakujulia tu
Mbona mie haujaniita jamani?
Habari zenu,jaman me c mwenyeji sana humu ila huwa napita mara nyingi kujifunza vitu mbalimbali,kubwa lilinifanya niwe huku leo;me ni binti nina 25yrs ila kwakweli me cna maujanja kwenye yale mambo yetu kunako kitanda sasa huwa nahisi mwenzangu hafurahii kabisa ila anashindwa kusema.nawaomba ndugu zangu nimnisaidie ni mambo gan naweza fanya kwa mpnz wangu ili wote tufurahie kuwa pamoja.sry kwa post ndefu.
Be nasty.. that's all... mapenzi uchafu so ukiona kinyaa hauta mridhisha ulie naye.... do wat comes first in your mind....
Nenda JLW ukipitia thread mbili tatu utakua tayari umewiva.