Msaada wakuu

masnai

Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
63
Reaction score
61
Habari zenu, jaman mimi sio mwenyeji sana humu ila huwa napita mara nyingi kujifunza vitu mbalimbali, kubwa lililonifanya niwe huku leo;

Mimi ni binti nina miaka 25 ila kwa kweli mimi sina maujanja kwenye yale mambo yetu kunako kitanda sasa huwa nahisi mwenzangu hafurahii kabisa ila anashindwa kusema.

Nawaomba ndugu zangu nimnisaidie ni mambo gani naweza fanya kwa mpenziwangu ili wote tufurahie kuwa pamoja.

Sorry kwa post ndefu.
 
Kama huyo mpenzi wako haujamkuta BIKRA mwambie akufundishe kwan yy anayajua, usimuone aibu
 

unajua haya mambo unaweza kupewa theory nyingi zisikusaidie....practicals ndio zinasaidia sana na mimi niko tayari kukupa practicals then we will start from there...
 
Kwani wewe huwa unampa stail gan?mpe wheelbarrow style,haki yanani hatakuacha ata akitaka kwenda kunya lazima ang'ang'anie mwende wote ili asiibiwe.
 
unajua haya mambo unaweza kupewa theory nyingi zisikusaidie....practicals ndio zinasaidia sana na mimi niko tayari kukupa practicals then we will start from there...

hahahH u can't be serious
 
wanakuja PM.,
naona mnajitegesha sana siku izi.

Afu badae, sitaki usmbuf PM., OOOUPPPSS!! sht..
 
Mwenzangu ngoja tusaidiane Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

si ndo gia zenu!! Mtayadaka ma zombiiiiiiieeeeeee,,,!!

Ati si kazoefu kumbe mraba uko ( ... ... ... ... )

haha ha ha haaaa
 
mwalimu mzuri unaye huyohuyo bwanaako, huku nje utaharibiwa tu!
 
wanakuja PM.,
naona mnajitegesha sana siku izi.

Afu badae, sitaki usmbuf PM., OOOUPPPSS!! sht..

nisamehe kama nimekukwaza bt ckuja kwa lengo hilo nilifikiri nikaona naweza pata msaada hapa na c vingine,nimemaanisha nilicho sema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…