msaada wakuu

Pampula jr

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
606
Reaction score
193
simu yangu ni blackberry 9810 tatizo lake ni kuingiza moto wakati wa kuichaji unapochomeka chaji inaonyesha inaingiza moto lakini haijai na baadae inanyonya chaji iliokuwemo kwenye simu betri nikiichaji kwenye kobe inaingiza moto na ninaitumia mpaka masaa kumi na tatu. nimepeleka kwa mafundi wanasema haiwezi kupona msaada kwa yoyote anaejua hilo tatizo anisaide.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…