msaada wakuu

msaada wakuu

chen

Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
64
Reaction score
7
nijuzen jinsi ya kujiunga na facebook pamoja na kufungua internet
 
Mkuu hata sijui tuanzie wapi!

Kama kweli upo serious, basi utaratibu ni kama huu uliotumia hapa. Kwa maana kwamba kwa jinsi ulivyoweza kufungua internet na kisha ukafanya registration kwenye Jamii Forums mpaka leo, umeweza kupost hii post yako ya 4.

Otherwise, unaweza ukabofya hapa utapata majibu ya shida yako.

Gud lak.
 
Back
Top Bottom