msaada wakuu.

yakub

Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
41
Reaction score
4
wakuu naombeni msaada wenu kwa hili tatizo langu.
Tatizo ni pc yangu haiditect modem ya vodafone zte k 3571-z before ilikuwa inafunction vizuri but now nikiconnect kwenye pc haifunction hivyo wakuu nahitaji msaada wenu.
 
Haidetect kivipi? Ukiconnect inakwambiaje? Na unatumia windows gani?
 
Kitu cha kwanza ni kujaribu modem kwenye computer nyingine na kujaribu modem nyingine kwenye computer yako
 
Kitu cha kwanza ni kujaribu modem kwenye computer nyingine na kujaribu modem nyingine kwenye computer yako

nimejaribu mkuu kwenye computer nyingine ina function fresh but nikirudisha kwangu haifunction.also nilijaribu modem nyingine ya zantel kwenye computer yangu ilifanya kazi fresh.
 
wakuu naombeni msaada wenu kwa hili tatizo langu.
Tatizo ni pc yangu haiditect modem ya vodafone zte k 3571-z before ilikuwa inafunction vizuri but now nikiconnect kwenye pc haifunction hivyo wakuu nahitaji msaada wenu.

jaribu zima computer yako chomoa kabisa kwenye sorket ya umeme kama subiri baada dakika tano halafu washa chomeka mordem
 
Kama alivyoshauri Fatma chomoa kila kitu kisha izime na iache dk 3 kisha washa na endelea,
Kama ni laptop ukisha zima toa betri kisha mofya kiwashio kwa sekunde kadhaa kisha rudishia na uiwashe kisah endelea.
Ikigoma inawezekana driver za modem zimekorofisha, kama mtaalamu unistall kisha install upya dashbord ya modem yako
 
thanks kaka hiyo ni good idea ninaifanyia kazi sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…