Msaada wakuu

Msaada wakuu

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,078
Reaction score
1,227
Habari wakuu , natumai ni wazima was afya, naombeni msaada ya tatizo hili yapata mwaka na nusu sasa na tatizo la kuwashwa au kuchinyota nyia ya haja kubwa , ngozi ya mwili kuwasha , kusikia njaa kila mara na joint kuuma , nimeenda sana hospital kubwa na ndogo nimesafanya vipimo vingi sana kama , typhoid, kisukari, minyoo huwa nakutwa nayo napewa dawa dalili zinapotea Alf zinarudi tena sijajua nini shida inayonisbu naombeni msaada
 
Dah pole Sana mkuu kwa mujibu wa maelezo yako ...hapo inabidi labda uangalie mazingira yako ya chooni au bafuni yawezekana labda ndo yanasababisha ww kushindwa kupona ...coz unaweza ukawa unatumia dawa Ila hujabadili mfumo wa maisha ambao ndo unapelekea ww kuwashwa ngoz na sehemu za siri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
assante sana mkuu ntajitahidi sana kuzingatia hayo
 
Back
Top Bottom