Nasumbuliwa na maumivu ya kichwa karibu mwezi wa pili, Maumivu hayo yanakwenda sambamba na maumivu yashingo pamoja na masikio kwa mbali muda mwengine.
Nimejaribu kwenda kituo cha afya cha karibu yangu, walinicheki damu, shinikizo la damu na mkojo nikaambiwa mote nipo sawa wakaishia kunipa dawa za maumivu tu, Lakini tatizo linaendelea.