Msaada wakuu

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
3,613
Reaction score
5,139
Naomba kueleweshwa tu namna ya kuzama humu jf bila kutumia internet, yaan ile ya kuitwa freebase, nihayo tu.
 
Vyuma vinazidi kubana na ukizingatia sisi wa voda kwa sasa bando la wiki ni buku tano.
 
Nimefanya hvyo mkuu, na nikalog in kama kawaida ikakubali bt kupitia data kwa on baada ya hpo nikizima data hakuna kinachofunguka.
haina haja ya kuzima data mkuu, unawasha data na hutumii mbs zako
 
Isipokuwa tu airtel ndio hai support mkt
Eatel nayo inasapot mkuu nami mwanzo nilijua hivyo inachotakiwa nikuifungua free basic juu kulia kuna vile vidot vi3 vilivyojipanga kwa wima ukvigusa ivo kuna menyu zitatokea menu yakwanza kabisa imandikwa + Huduma zaidi ukiclick hapo itakuletea box la search hapo utaandika jamii forum itakuja na ukiigusa itaenda kujipanga ktk menu zako kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…