james bendui
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 716
- 736
Wakuu simu yangu imejifunga network hata nikiweka line sawa na bure na inaniandikia SIM network unlock pin na haina tatizo jingine msaada kwa wajuzi wa hii kitu aina ya simu ni Samsung s6 + edge..
Weka mtandao(network provider) unaodai hiyo codeHaina tatizo jingine
Sijaelewa vizuri mkuuWeka mtandao(network provider) unaodai hiyo code
Model number
IMEI number