msaada wakuu

Yasin21

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
667
Reaction score
404
habari za asubuhi ma-greater thinker.

Nilikuwa na flash simu aina ya tecno boom j5 ikaniletea error ya "brom error s_ft_get_memory_fail (4058)",naomba kujua maana yake na solution yake.

NAWASILISHA.
 
kama unajua kuflash, basi kwanza iandikie bootloader kisha rudia kuflash na scatter file..unatumia software gani? kama ni crack tafuta mwenye box ipo option ya kufanya, vingine imekula kwako
 
habari za asubuhi ma-greater thinker.

Nilikuwa na flash simu aina ya tecno boom j5 ikaniletea error ya "brom error s_ft_get_memory_fail (4058)",naomba kujua maana yake na solution yake.

NAWASILISHA.
Ili upate msaada wa bila kuzunguka naomba kujua simu yako ilikuwa na shida gani hadi ukaamua kuiflash?

Kwa hiyo error inayoyoleta ina majibu mawili inaweza ikawa emmc au preloader, eleza kama nilivyokuuliza ili upate msaada.
 
simu ni tecno boom j5 kama nilivyoeleza hapo juu,tatzizo lake ni kwamba inatabia ya kuganda kwa muda mrefu then inajizima yenyewe,ikishajizima kuiwasha hapo mpaka baada ya muda fulani ndio inakubali kuwaka otherwise ijiwashe yenyewe kitu kingine ilikuwa inaleta zile unfortunately error nyingi
 
Umeiformat kwa sp flash tool kabla ya kuiflash? Umejaribu rom tofauti? Kama umefanya backup tumia hiyo preloader kwenye rom unayotaka kutumia, ikishindikana itakuwa tatizo la hardware.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…