Chaja zote alafu imekuwa slow sana kupeleka chaji nimebadili battery lakini bado alafu kingine kuna kamlio inatoa sehemu ya system charge nikiwa natumia.
Chaja zote alafu imekuwa slow sana kupeleka chaji nimebadili battery lakini bado alafu kingine kuna kamlio inatoa sehemu ya system charge nikiwa natumia.
itakuwa na tatizo mkuu, maana huo umeme unaoingia ni mwingi lakini inajaa taratibu hapo kuna mahala unapotea na kusababisha simu ipate joto. hapa nafkiria possibility mbili.
1. ni tatizo la hardware, labda system charge imeharibika.
2. kuna vitu ndani ya simu muda wote vinatumia cpu na kufanya simu ipate joto, kuisha charge upesi na kucharge kidogo kidogo.
hio namba mbili ni rahisi kujua. jaribu kufanya hivi
-zima data kwenye simu
-nenda setting kisha kwenye battery eka battery server on hii itafunga background process na kupunguza mambo yanayofanya kazi chini kwa chini, kisha jaribu tena kuchaji uone kama itapata moto na kuingiza chaji taratibu?