Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Hyo yako kinyonge sana. Sifa ya home thieter ni 5.1 sorround. Sasa ww spika nyinginezo hazilii. Sasa si imekuwa sawa na sub woofer ya laki na 20 kko. Kifupi haina maana ya kuwa home thieter sasa hivi imekuwa kama mziki tu wa HiFi au bufa la kichina
Subiri siku nikitangaza kuuza ntakutafutaMkuu niuzie hiyo Home thíeter nichek DM
Windows 7, 32 bit based processor.pc windows ngapi, jina la hometheatre?
Sawa Mkuu karibu AnytimeSubiri siku nikitangaza kuuza ntakutafuta
kwenye site yao wameandika inatakiwa uwe na kifaa cha kuanzia bluetooth 2.1 na kiwe ni EDR,Windows 7, 32 bit based processor.
Sony home theater (Dav dz 650 watts 1,000)
Nina simu ina connect bila shida na ina play, na hata PC yangu ya mwanzo ilikua ina connect na ku-play bila shida.kwenye site yao wameandika inatakiwa uwe na kifaa cha kuanzia bluetooth 2.1 na kiwe ni EDR,
soma zaidi hapa
Iam looking for the Sony DAVDZ650 Bluetooth driver... - the Community
hauna simu au kifaa chengine cha bluetooth? test na kifaa chengine. simu nyingi za kisasa zina bluetooth 4
Ingia dukani acha kuamini katika utani mkuu[emoji23] [emoji23]Sawa Mkuu karibu Anytime
eka model ya pc tucheki full specs kama kweli imetimiza vigezo vya hio bluetooth.Nina simu ina connect bila shida na ina play, na hata PC yangu ya mwanzo ilikua ina connect na ku-play bila shida.
Ulinunua sh. Ngapi mkuu. Ni kweli nahitaji wàla sitaniiIngia dukani acha kuamini katika utani mkuu[emoji23] [emoji23]
Siuzi na sitauza
Lenovo IdeaPad S10-3eka model ya pc tucheki full specs kama kweli imetimiza vigezo vya hio bluetooth.
alternative kanunue adapter ya bluetooth ambayo ni zaidi ya 2.1
Nilinunua Tz Bara Tsh. 770,000.Ulinunua sh. Ngapi mkuu. Ni kweli nahitaji wàla sitanii
inayo bluetooth 2.1 na edr.Lenovo IdeaPad S10-3
Chief vipi?inayo bluetooth 2.1 na edr.
jaribu ku update drivers toka site ya lenovo au jaribu troubleshoot ndogo ndogo kama vile kuplay sauti na windows media player kisha kufanya hivi
1. Open Windows Media Player
2. In the upper left corner, choose Organize and from there Options
3. Choose the tab Devices and then press Speakers and Properties
4. Select your Speakers as the device there and Apply + Ok
uone kama utaziona speaker kwenye pc.
poa tuChief vipi?
Mkuu simu yangu nikichaji inachemka vibaya sana tatizo nini mkuu?poa tu
charger zote? ukichaji na usb kawaida je? mfano unachomeka usb kwenye laptopMkuu simu yangu nikichaji inachemka vibaya sana tatizo nini mkuu?