Nunua hiki kifaa
View attachment 956502
View attachment 956503
View attachment 956504
Waweza kutumia kwenye gari
- Charge laptop yako
- Simu etl
Waweza kutumia nyumbani iwapo una mfumo wa solar au bila mfumo wa solar utatumia betri la gari.
Bei kwa inverter ya
3,000W : TZS 143,700 ( Hadi kufikisha Dar ), kwa mkoani utatumiwa kwabasi au ems
Muda: Wiki tatu (3)
Maelezo zaidi ya manunuzi:
Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
View attachment 956507
Uzuri wea hii inverter ni kuwa waweza tumia hata kuwashia TV (hizi flat sreen) na sub woofer, sababu umeme unaotoka ni 220V sawa na umeme wa kawaida.
Hii pichani ndio nilikuwa nikitumia nikiwa safari/ mkoani ambako hakuna umeme
View attachment 956519