Msaada wakuu wa kutoa Frp

Msaada wakuu wa kutoa Frp

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,493
Reaction score
2,017
Mambo vp wakuu....?
Cku zote ukiwa Kijana ni lazima kujifunza Mambo mbali mbali ktk Maisha yetu.
Nmekuja hapa kuna Simu nmepewa na Jamaa yng kama Zawad. Hyo simu(Tecno S1) inatatizo. Wakat wa kuwasha inabai google account(Frp). Baada ya kuona hvyo nlidownload miracle software pamoja na Software ya Mtk drive. Tatizo linakija nkuconnect simu inakua haionekani kama imekua Connected to Miracle software. Nlitaka kujua step kwa step mpaka mwisho. Kwahyo anayeweza kunisaidia nnaomba msaada.
 
Miracle Eye 2.7

Hiyo version haiwezi kutoa frp ya hiyo simu, unatakiwa upate version ya juu zaidi . Harafu soma namna ya kuweka driver kwenye pc yako ndo itaweza kuonekana hiyo simu.

NB: Do for your own risk ikigomea kwenye logo shauri yako.
 
Hii nnaifanya kwa kujifunza 2
 
Mimi ni fundi simu kwahiyo tunatumia vifaa vya uhakika ili kutoleta hizo frp lock, pia unaweza kutumia NCK kuondoa hiyo frp, kwa uhakika zaidi.
Sawa ntaitafuta
 
Mbona njia ndefu Sana hiyo unatumia.... Hizo Mimi natoa kwa kuishika tu simu ila lazima kuwe na internet through wife.. ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom