Msaada wakuu wa fomula ya TRA kutoza ushuru wa Gari

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakuu nakumbuka nilishawahi kuona hii fomula humu jamvini lakini ilikuwa zamani sana naomba kama kuna mtu ambaye anayo anitumie hiyo fomula ya TRA matapeli.

Asanteni.
 
TRA wanakuwaje matapeli? Shida za Watanzania hatujui haki zetu na kila kitu tunataka kutoa posho tukifikiri kuna upendeo tunapewa wakati TRA wao wanatoza kodi kamili na iliyo halali kwa mujibu wa sheria.
 
Kitu ambacho sielewi hapo ni kwa nini wanatoza Kodi juu ya kodi? Ni wizi wa wazi aisee
 
Kwenye import kuna Import Duty

Baadaye VAT ambayo ni (CIF + Import duty)X18%

Kodi juu ya kodi inatoka wapi? Nachofahamu Watanzania wote tu wezi, ukinunua kitu cha USD 3,000 utaomba anayekuuzia akutengenezee invoice ya USD 1500; Bahati mbaya TRA wana ACCESS za Internet za suppliers hivyo bei za vitu kama gari siyo siri
 
Prove kuwa watanzania wote ni wezi, taratibu na kutoa mawazo yako. Huwezi ku generalize mambo kirahisi hivi. Nategemea utaomba radhi.
 
Kwenye import kuna Import Duty

Baadaye VAT ambayo ni (CIF + Import duty)X18%

Kodi juu ya kodi inatoka wapi? Nachofahamu Watanzania wote tu wezi, ukinunua kitu cha USD 3,000 utaomba anayekuuzia akutengenezee invoice ya USD 1500; Bahati mbaya TRA wana ACCESS za Internet za suppliers hivyo bei za vitu kama gari siyo siri

Mpendwa Augustino... Wewe ni Mwizi??

Ninachouliza ni kwamba, wamekata Kodi ya Import, ya Excess na mengineyo... then VAT inakuja kuwa calculated kwenye hizo zote...
 
Sina uhakika faida ninayolipia kodi ndio faida halisi ninayopata hivyo siwezi kujitoa kwenye kundi la wezi. Sijui wewe life style yako na salary slip vinaendana? Kama una nyumba, ulikopa ukajenga au ni mshahara plus vile vingine......ukapata nyumba?
 
Mpendwa Augustino... Wewe ni Mwizi??

Ninachouliza ni kwamba, wamekata Kodi ya Import, ya Excess na mengineyo... then VAT inakuja kuwa calculated kwenye hizo zote...

CIF cost inakuwa uplifted to real cost + Import duty + VAT on total uplifted CIF plus Import duty. Hakuna wizi ndivyo sheria inavyoelekeza
 
Hamna formula inayoeleweka wanaotumia hawa TRA unaweza kuleta magari ya aina moja,mwaka mmoja lakini ukashangaa tofauti ya ushuru/kodi.Mi naona inategemea ofisa ana mood gani,kaamkaje asubuhi,kagombana home e.t.c.
 
hili ni tatizo kubwa kila siku! lazima wafanye uplifting kwa makadirio yao wanayojua wao,haiwaingii akilini kuwa abroad wakati mwingine ni rahisi kuliexpose gari lako kwa bei chee kuliko gharama za kulitunza huko
 
Hamna formula inayoeleweka wanaotumia hawa TRA unaweza kuleta magari ya aina moja,mwaka mmoja lakini ukashangaa tofauti ya ushuru/kodi.Mi naona inategemea ofisa ana mood gani,kaamkaje asubuhi,kagombana home e.t.c.

Kweli kabisa mie nakuunga mkono 100 kwa 100 .
 
navyojua mimi

x=CIF *.18,VAT =x*0.18
Y=CIF*.25,Import duty=Y*.25
kodi inakuwa ni VAT+import duti kwa wasio na exemption wenye nao wanalipa import duty tu

pia kama gari ni ya zaidi ya ten years then kuna dumping fee ambayo sikumbuki formula yake
Assumption=no uplifting
 
ila sometimes ukikutana na accessor ambaye hajafikia malengo yake ya mwezi na aikuhisi kama huna elimu ya kodi basi tegemea kutandikwa kodi ya ajabu.ni vizuri kumake use of tax consultants wako wengi tu hapa mjini
 
Back
Top Bottom