Mkuu weka utaratibu kuwa, asifanye muhamala wowote I.e kukutumia pesa pasipo maelekezo ya cm alafu usipende kuwasiliana ishu za fedha kwa sms pia namba za kazi ziwe tofauti na binafsi etcHeshima mbele wakuu wote wa Jf;mimi ni wakala wa Mpesa;Airtel Money na tigo Pesa;kuna mtu alimtumia msichana sms kwamba mimi boss wake nahitaji kiasi hicho cha fedha huku akimweleza kuwa mimi yani akimaanisha mimi boss wake sitokuwa hewani kwa sababu nimeishiwa chaji na inaonekana ali hack namba yangu mana msichana anasema sikuwa hewani lakn muda wote nilikuwa hewani;sasa mara baada ya kutuma fedha kiasi cha millioni moja ndipo binti akanipigia simu baada ya muda akiniuliza nishapata hela? Nikamwambia sijahitaji hela yoyote kwako na ukitizama sms ya kwanza aliomtumia ilionekana ndilo jina ambalo amenisave huyo msichana wangu wa kazi;je naweza mpata kama nikimwaga namba zake hapa? Maana alitumia namba nyingi mbali mbali kutumiwa hyo fedha;maoni yenu tafadhari na funzo kwa wenzangu
Mkuu nashukuru kwa ushauri na yote hayo nilishamuelekezaMkuu weka utaratibu kuwa, asifanye muhamala wowote I.e kukutumia pesa pasipo maelekezo ya cm alafu usipende kuwasiliana ishu za fedha kwa sms pia namba za kazi ziwe tofauti na binafsi etc
Mkubwa Sam wewe acha tu kuibiwa kunauma as long unatafuta kwa muda mrefu mtu mwingne anakuibia hivi hivipole sana kak mkubwa utapel upo kila cku cha msing kuwa makin isije ikatokea tena mana hakuna uchungu unao uma kama wa kuibiwah ni shida
Heshima mbele wakuu wote wa Jf;mimi ni wakala wa Mpesa;Airtel Money na tigo Pesa;kuna mtu alimtumia msichana sms kwamba mimi boss wake nahitaji kiasi hicho cha fedha huku akimweleza kuwa mimi yani akimaanisha mimi boss wake sitokuwa hewani kwa sababu nimeishiwa chaji na inaonekana ali hack namba yangu mana msichana anasema sikuwa hewani lakn muda wote nilikuwa hewani;sasa mara baada ya kutuma fedha kiasi cha millioni moja ndipo binti akanipigia simu baada ya muda akiniuliza nishapata hela? Nikamwambia sijahitaji hela yoyote kwako na ukitizama sms ya kwanza aliomtumia ilionekana ndilo jina ambalo amenisave huyo msichana wangu wa kazi;je naweza mpata kama nikimwaga namba zake hapa? Maana alitumia namba nyingi mbali mbali kutumiwa hyo fedha;maoni yenu tafadhari na funzo kwa wenzangu
Asante mkuu;jamaa wanarudisha watu nyuma kimaendeleo