Mr possibility Senior Member Joined Mar 19, 2020 Posts 175 Reaction score 134 Mar 22, 2020 #1 Kuna app moja niliiwekea lock kwa kutumia pattern Sasa pattern yenyewe nimeisahau hivyo app haifunguki hata nikitumia pattern ya kufungulia simu lakini wapi! Msaada wakuu nifanyeje
Kuna app moja niliiwekea lock kwa kutumia pattern Sasa pattern yenyewe nimeisahau hivyo app haifunguki hata nikitumia pattern ya kufungulia simu lakini wapi! Msaada wakuu nifanyeje
mwakajingatky JF-Expert Member Joined May 30, 2018 Posts 558 Reaction score 927 Mar 22, 2020 #2 jaribu ;Nenda kwenye settings..apps, then ingia kwenye app husika clear caches afu jaribu kufungua upya
jaribu ;Nenda kwenye settings..apps, then ingia kwenye app husika clear caches afu jaribu kufungua upya
Mr possibility Senior Member Joined Mar 19, 2020 Posts 175 Reaction score 134 Mar 22, 2020 Thread starter #3 mwakajingatky said: jaribu ;Nenda kwenye settings..apps, then ingia kwenye app husika clear caches afu jaribu kufungua upya Click to expand... nimejaribu imeshindikana
mwakajingatky said: jaribu ;Nenda kwenye settings..apps, then ingia kwenye app husika clear caches afu jaribu kufungua upya Click to expand... nimejaribu imeshindikana
mwakajingatky JF-Expert Member Joined May 30, 2018 Posts 558 Reaction score 927 Mar 24, 2020 #4 Mr possibility said: nimejaribu imeshindikana Click to expand... Basi jaribu ku uninstall ...afu u install tena
Mr possibility said: nimejaribu imeshindikana Click to expand... Basi jaribu ku uninstall ...afu u install tena
Mr possibility Senior Member Joined Mar 19, 2020 Posts 175 Reaction score 134 Mar 24, 2020 Thread starter #5 Hata hiyo njia ilishindikana Ila now nimesharekebisha Kila kitu mwakajingatky said: Basi jaribu ku uninstall ...afu u install tena Click to expand...
Hata hiyo njia ilishindikana Ila now nimesharekebisha Kila kitu mwakajingatky said: Basi jaribu ku uninstall ...afu u install tena Click to expand...
mwakajingatky JF-Expert Member Joined May 30, 2018 Posts 558 Reaction score 927 Mar 24, 2020 #6 Mr possibility said: Hata hiyo njia ilishindikana Ila now nimesharekebisha Kila kitu Click to expand... Umewezaje mkuu?
Mr possibility said: Hata hiyo njia ilishindikana Ila now nimesharekebisha Kila kitu Click to expand... Umewezaje mkuu?
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,530 Mar 24, 2020 #7 Futa hiyo app ipakue tena ikishindikana uza hiyo simu Mr possibility said: Kuna app moja niliiwekea lock kwa kutumia pattern Sasa pattern yenyewe nimeisahau hivyo app haifunguki hata nikitumia pattern ya kufungulia simu lakini wapi! Msaada wakuu nifanyeje Click to expand...
Futa hiyo app ipakue tena ikishindikana uza hiyo simu Mr possibility said: Kuna app moja niliiwekea lock kwa kutumia pattern Sasa pattern yenyewe nimeisahau hivyo app haifunguki hata nikitumia pattern ya kufungulia simu lakini wapi! Msaada wakuu nifanyeje Click to expand...
Wiwachu JF-Expert Member Joined Nov 13, 2018 Posts 809 Reaction score 926 Mar 24, 2020 #8 Futa data ya application mkuu ijianze upya naamini hapo utafanikisha mwakajingatky said: Basi jaribu ku uninstall ...afu u install tena Click to expand...
Futa data ya application mkuu ijianze upya naamini hapo utafanikisha mwakajingatky said: Basi jaribu ku uninstall ...afu u install tena Click to expand...
Mr possibility Senior Member Joined Mar 19, 2020 Posts 175 Reaction score 134 Mar 24, 2020 Thread starter #9 Mbinu zote mlizotoa zilishindikana aise Balaa