Msaada Wakuu, Ni Wapi Nitapata Mercury!!!

hayo maji yanalindwa na majoka makubwa ni bora ukalime maana cjawahi ckia mtu ambaye amefanikiwa.

hahahaha, nyoka gani tena aisee hakuna nyoka wala nge, mercury inauzwa kibao tu we sema unataka kiasi gani, inatumika kwenye migodi kukamatia dhahabu na bei yake ni rahisi tu!
 
utapigwa hela nyingi sana mkuu,kimbia fasta.
Nalog off
 
nenda mzinga morogoro wao ndiyo wanayo na watu wote wanachukuaga huko....
 
Kwa dar nadhani maduka ya vifaa vya maabara ila ukienda huko kanda ya ziwa hasa naeneo ya kuchimba dhahabu inauzwa kwa wingi sana. Kama uko mikoa ya kati unaweza kwa urahisi ukienda nzega,jaribu hayo maeneo.
 
hahahaa, kwa nini apigwe pesa aisee, mbona mercury inauzwa kwenye maduka ya vifaa vya maabara!!!
hiyo inatafutwa ili ikoshwe hela(dola chafu) na hapo ndipo wapopo watamuacha kwenye mataa.
Nalog off
 
 
nenda kwenye mahospital makubwa utaipata kiulaini kabisa ila 1ltr ni laki moja ya dili hiyo.
 
nenda kwenye mahospital makubwa utaipata kiulaini kabisa ila 1ltr ni laki moja ya dili hiyo.
Habari yako. Ntapata wapi mecyur nnashida nayo. Naomba mawasiliano yako kama unafaham inapopatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…