Blandina Vedastus
Member
- Dec 22, 2020
- 26
- 21
Mimi ni binti niliyehitimu masomo ya uandishi habari na mawasiliano kwa uma, ninauzoefu na kazi kwa mwaka mmoja,, msaada naweza kufanya kazi yoyote halali yenye maslahi lengo kujikimu kimaisha , poleni na majukumu wakubwa!