Msaada wakuu namna ya ku-attach picha kwenye post

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,381
4,648
natanguliza shukrani JF,naomba nijuzwe namna ya ku-attach picha kwenye post
nimesumbuka sana.

nawakilisha.
 
Ni rahisi sana ndugu, wakati umefungua kile kisehem cha kuandikia utaona sehem ambayo nimeizungushia rangi ya njano kwenye hii picha niliyoiwekaa, wewe iclick iyo sehem baada ya hapo browse mpaka sehem ulipoweka picha yako kwenye computer kisha upload, na picha itakua attached
jf.PNG
 
mkuu mi Natumia simu(HTC sensation,os Android) so nafanyaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom