Msaada wakuu, nakwama kupakua window

Msaada wakuu, nakwama kupakua window

Internal

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
3,579
Reaction score
3,926
Napakuwa window kwa kutumia utorrent imepakuwa mpaka gb 4 na point ipo asilimia tisini lakini inaleta error na ujumbe unaosema file too large( write on disk).

Nifanye ili iendelee masna nikistart ikifika hapo inakwama.

Natanguliza shukrani.
 
Utajuaje kua umeonewa? Ni pale unadownload file linafika asilimia 99.9 alafu linaandika error.
 
Napakuwa window kwa kutumia utorrent imepakuwa mpaka gb 4 na point ipo asilimia tisini lakini inaleta error na ujumbe unaosema file too large( write on disk).

Nifanye ili iendelee masna nikistart ikifika hapo inakwama.

Natanguliza shukrani.
Unatumia device gani kudownload?
 
Mkuu natumia simu
Kwa simu huwezi ukadownload file linalozidi gb4. Hii ni kwa sababu memory ya simu inatumia format ya fat32 ambayo ina limitation ya 4gb, Mfumo wa NTFS ndo huwa unakubali file kubwa zaidi ya gb 4. Lakni kuna utaalamu wa kuformat memory kweye mfumo unaokubali zaidi ya 4gb lakni hadi uwe na idea kidogo na mambo hayo.

Kama unadownload windows 10 tafuta uc browser halafu ingia kwenye website ya Microsoft download huko kuna windows zenye ukubwa chini ya 4gb.
 
Sawa mkuu hio uc browser ndo natumia ngoja nikaangalie mkuu
 
Wakuu mwenye link ya window yoyote yenye full size 3. Kadhaa anisaidie nipakue nishushe window nina wiki ya piliv pc imelala tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom