Msaada wakuu,kwa ufaulu huu

Mkuu naona umefurahi sana,ila ndio hivyo yamentokea,phyz ilikuja sivyo ndivyo ndo maana yani
Sema hapo utafiti kwa kozi za biashara hasa kwa diploma ila ukiweka vizuri form six unaweza pata kozi za ardhi university nyingi tyuu zipo zinazohusisha kombi ya EGM so kazana upo pazuriii little bros
 
Ahsante mkuu kwa apo
 
Samahanini wakuu naongezea apo,je na kwa coz za engineering kwa ufaulu huo ninaweza kupata kupitia matokeo hayo,na kama nafaa ni kozi ipi ingenifaa kwenye engineering
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…