afebris Member Joined Nov 17, 2015 Posts 96 Reaction score 105 May 13, 2016 #1 Wajameni nina simu tajwa hapa juu tatizo lilioko nikiiwasha inanasa kwenye logo ya Tecno na haiendelei.. Tatizo limetokea baada ya monkeytest kuingia kwenye simu yangu... Msaada wakuu...
Wajameni nina simu tajwa hapa juu tatizo lilioko nikiiwasha inanasa kwenye logo ya Tecno na haiendelei.. Tatizo limetokea baada ya monkeytest kuingia kwenye simu yangu... Msaada wakuu...
C cyber ghost JF-Expert Member Joined May 8, 2015 Posts 239 Reaction score 162 May 13, 2016 #2 Flash kwakutumia spflash tools
afebris Member Joined Nov 17, 2015 Posts 96 Reaction score 105 May 13, 2016 Thread starter #3 cyber ghost said: Flash kwakutumia spflash tools Click to expand... Mkuu TCRA wametanga kuflash simu ni kosa..au hawakusudii simu kama hizi?
cyber ghost said: Flash kwakutumia spflash tools Click to expand... Mkuu TCRA wametanga kuflash simu ni kosa..au hawakusudii simu kama hizi?
Sahani20 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 1,517 Reaction score 746 May 13, 2016 #4 Kwa msaada zaidi pereka TCRA watakua na mbadala