kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,563
- 2,628
lakini kwenye simu inaonyesha space kubwaFake hiyo mkuu
Ndo ushaliwa!lakini kwenye simu inaonyesha space kubwa
dah nomaaa me anavyoniuzia alinipa ndani ya boksi lake limeandikwa 16gb pamoja na adapterNdo ushaliwa!
hamna siyo hiyo me wameniuzia wale wafanyabiashara wa nje maduka ya simu kkoo alinipa na kasha ipo pamoja na adapter imeandikwa 16gbItakuwa ndo hii nimekuuzia View attachment 829968
Mkuu inawezekana memory ya 2gb kuonyesha kama ya 16gb kwenye simu ama pc lakini kiuhalisia ni 2gb na haiwezi ingia vitu vya zaidi ya 2gb.hamna siyo hiyo me wameniuzia wale wafanyabiashara wa nje maduka ya simu kkoo alinipa na kasha ipo pamoja na adapter imeandikwa 16gb
nashukuru chief dah hawa majamaa kkoo wataalamu kwa kuiba dah hvi maduka mazuri ya memory card tutayapata wapi kkooMkuu inawezekana memory ya 2gb kuonyesha kama ya 16gb kwenye simu ama pc lakini kiuhalisia ni 2gb na haiwezi ingia vitu vya zaidi ya 2gb.
Tafuta maduka standard ya camera ambayo ni makubwa mara nyingi unapata memory card brand nzuri kama sandisk kuanzia class 10.nashukuru chief dah hawa majamaa kkoo wataalamu kwa kuiba dah hvi maduka mazuri ya memory card tutayapata wapi kkoo
kama yapi mkuu hayo maduka naweza kuyapata mitaa ganTafuta maduka standard ya camera ambayo ni makubwa mara nyingi unapata memory card brand nzuri kama sandisk kuanzia class 10.
Mimi yangu nilinunua kama unatoka uhuru na congo unaenda uhuru na swahili mkono wa kulia. Limepigwa sticker za njano za Camera.kama yapi mkuu hayo maduka naweza kuyapata mitaa gan