T tetestaly Senior Member Joined Sep 10, 2015 Posts 126 Reaction score 59 Jul 22, 2016 #1 Ivi kwenye guide book ya TCU pale kwenye column ya Loan inapoandika non priority inamaanaisha mwanafunzi hata pata mkopo kabisa??????
Ivi kwenye guide book ya TCU pale kwenye column ya Loan inapoandika non priority inamaanaisha mwanafunzi hata pata mkopo kabisa??????
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 6,600 Reaction score 5,041 Jul 22, 2016 #2 atapata japo siyo kipaumbele
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,957 Reaction score 6,837 Jul 22, 2016 #3 tetestaly said: Ivi kwenye guide book ya TCU pale kwenye column ya Loan inapoandika non priority inamaanaisha mwanafunzi hata pata mkopo kabisa?????? Click to expand... Hapana Ina maanisha anaweza kupata baada ya wale priority kupata incase hela ikibaki,
tetestaly said: Ivi kwenye guide book ya TCU pale kwenye column ya Loan inapoandika non priority inamaanaisha mwanafunzi hata pata mkopo kabisa?????? Click to expand... Hapana Ina maanisha anaweza kupata baada ya wale priority kupata incase hela ikibaki,