Msaada wakuu kuconnect DNS tunnel ya tunnel guru

15K Kwa mwezi kwa maana kwamba setting ni 10K na 5K ni kwaajili ya Account ya YF
Yaani bora Utoe 10K uunge Royal bundle ya Halotel ule maisha full speed kabla haijadrop kuwa konokono baada ya zile Gbs za kupimiwa kuisha.
Hahah shida kweli kweli...
 
Kuna tapeli anajiita the great wizard anauza setting za Your freedom but hasemi wazi kitu ni DNS ile ya Mobile Version,yaani konokoño kinyama.
Kama shida yako ni kubrowser na kuchat whatsap sawa ila wazee wa kustream na kushusha mizigo usilogeke kuingia anga zake
Sawa Sawa Mkuu hizi harakati hazijaanza leo
 
YOUR FREEDOM,iodine etc ZIPO SLOW HUWEZ DOWNLOAD FILES KUBWA
SASA KUNA PACKAGE SPECIAL KWA AJILI YA TRUSTED PEOPLE ONLY
UNLIMITED INTERNET
UPTO 10Mbsp
PRICE 20000/=
 
Back
Top Bottom