i pad3
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,518
- 378
wakuu nililipia internet ya vodacom.. Unlimited ile ya elfu 30, nimetumia kwa wiki moja tu naona haifanyi kazi inakataa kuunga toka jana, wakati inatakiwa iishe baada ya mwezi mmoja.
So wadau naomba mnijuze jinsi ya kuangalia salio ama kama kuna mtu anajua kitu gani kinaendelea.
Asanteni wadau.. Pamoja sana
So wadau naomba mnijuze jinsi ya kuangalia salio ama kama kuna mtu anajua kitu gani kinaendelea.
Asanteni wadau.. Pamoja sana