Msaada wakuu. Duplicate file finder software.

Derimto

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
1,307
Reaction score
325
Jamani wandugu nimechoka kupambana kuendelea kuitafuta software kwa zaidi ya siku tatu sasa maana kunawakati mtaalam mmoja aliitupia humu jamvini nikainyonya lakini ni muda mrefu sana simkumbuki hata aliyeiweka na ile mashine niliyoiwekea hiyo software nimeshaigawa sasa ninahitaji mno kulikowakati ule naombeni msaada wakuu wa jukwaa hili.
 
  • Waweza tumia hii, ni nzuli

Auslogics Duplicate File Finder
Version:3.3.1.0
Release date:14/10/2013
Program size:4.9 MB
Click: Here Download




​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…