Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,328
- 2,242
Most of time win 10 haihitaji drivers za wifi na Bluetooth, zinakuja built in.Kama topic inavojieleza, nahitaji kuinstall drivers za Bluetooth pamoja na Wi-Fi kwenye PC yangu lakini kila ninayo jaribu hola,
Nimejaribu ku update machine, lakini wapi na hii imetokea nlivo piga window na kui update saiv imeandika kama inavo onekana kwenye picha hapo chini.View attachment 1732414View attachment 1732416
Kama topic inavojieleza, nahitaji kuinstall drivers za Bluetooth pamoja na Wi-Fi kwenye PC yangu lakini kila ninayo jaribu hola.
Nimejaribu ku update machine, lakini wapi na hii imetokea nlivo piga window na kui update saiv imeandika kama inavo onekana kwenye picha hapo chini.
View attachment 1732414View attachment 1732416
Toyota ndo nini mkuuNjoo toyota mkuu
umefanya nini umekwama wapi?View attachment 1732881
Baada ya kufanya solution hizo zote, ya mkuu ymollel na Chief-Mkwawa lakini bado ni msala wakuu, msaada zaidi wakuu wangu
Hiyo ni driver nimedowmload toka website ya dell wao wenyewe lakini, nikijaribu install zinagoma kuingia yaniumefanya nini umekwama wapi?
Ila ile pop up ya test mode imetoka though problem still ipo.umefanya nini umekwama wapi?
We unafikiri wote tuna huo uwezo wa kulipia hizo gharama za windows, then weka na office, hujaja program zingine.Tatizo wabongo tunalokosea ni kutaka kupata option za kulipia bure...window za bure...ukianza kufanya update lazima yakukute hizo update zimewekewa wale walionunua window tu.
Ukitaka kupata feature zote za windows bila shida ni bora ukanunua windows yako...hapa huwezi kupata msaada...labda upige tena hiyo window kisha ufunge kipengele cha update.
0622 901670View attachment 1732881
Baada ya kufanya solution hizo zote, ya mkuu ymollel na Chief-Mkwawa lakini bado ni msala wakuu, msaada zaidi wakuu wangu
hiyo imekaa kama software ya kudownloadia drivers na sio driver yenyewe,Hiyo ni driver nimedowmload toka website ya dell wao wenyewe lakini, nikijaribu install zinagoma kuingia yani
Ok mkuu ngoja njaribu tena nionehiyo imekaa kama software ya kudownloadia drivers na sio driver yenyewe,
1. ingia hii link
2. chagua manual download drivers na sio hio automatic
View attachment 1732935
3. chagua windows yako, sort drivers za network zitakuja kama 4 hivi, download inayokuhusu, ni file kubwa around 100mb
View attachment 1732937
Thread closed umemaliza kila kituHiyo TEST MODE maana yake ni kwamba Windows ipo kwenye Test Signing Mode yaani umeDisable Driver Signature Check.
Kuitoa hiyo , fungua CMD kama Administrator halafu weka command hizi mbili.
Command ya kwanza
bcdedit /set loadoptions ENABLE_INTEGRITY_CHECKS
Halafu Bonyeza ENTER (hapo inatakiwa iwe successfully)
Halafu weka command ya pili
bcdedit /set testsigning OFF
Halafu Bonyeza ENTER (Inatakiwa iwe successfully)
Restart computer. Imeisha hiyo
Kuhusu Drivers
Ingia website ya Dell zipo drivers zote kule kwa kila model ya computer ya Dell
Mimi sio mtaalamu ila nafikiri drivers za wireless zimemiss kwenye hyo window, hata ukiupdate huwezi pata.
So jaribu kuistall driverpack solution(hii ni software) watakusaidia kuistall missing drivers.