Wakuu naomba mwenye kujua hii course baada ya kumaliza nategemea kufanyia kazi maeneo gani,lakini pia kuna hii Bachelor degree in human resource management maeneo gani nitatakiwa kufanya kazi Asanteni
Human Resources ukisoma hakikisha unapata G.P.A nzuri itakayokufanya uendelee na Masters utafurahia kazi yako ya kusimamia watu makazini na rasilimali zao.