Naomba msaada wa kufanya manual configuration ya internet kwenye cm yangu maana kwa automatic inagoma (Android, phone model number ALCATEL ONE TOUCH 918)
Apn sio jina lolote maana net itakuwepo ila itakuwa slow nipe chukua data kamil.APNname andika tigo web af APN internet./voda ni vodacom internet.APN internet. Kwa airtel tz APN internet.ilakama ni mala ya kwanza wasiliana na uduma kwa wateja ili kuactvate lain yako kama ilikua haijawahi kufungua internet au chukua cm nyingine kama nokia af jaribu kublowser ita actvet lain yako afu ukirudisha kwenye cm yako fanya tena hizo hatua well done.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.