Charles kikoti JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 461 Reaction score 121 Nov 13, 2013 #1 Cm yangu nilikuwa nalock kwa phone pattern nimejalibu kuingia imenigomea.Mala ya mwisho inaniomba ni sign in kwa google account nikiingiza account inanijibu ivalid user name or password naombeni mnisaidie wana JF.
Cm yangu nilikuwa nalock kwa phone pattern nimejalibu kuingia imenigomea.Mala ya mwisho inaniomba ni sign in kwa google account nikiingiza account inanijibu ivalid user name or password naombeni mnisaidie wana JF.
V viz Member Joined Jul 18, 2012 Posts 21 Reaction score 2 Nov 14, 2013 #2 Inatumia Operating system ipi? kama ni Android ni PM nitakuelekeza jinsi ya kufanya kama ni iOS ingia kariakooonline.com utakuta bei zake
Inatumia Operating system ipi? kama ni Android ni PM nitakuelekeza jinsi ya kufanya kama ni iOS ingia kariakooonline.com utakuta bei zake