Msaada waku unlock iphone imenigomea

Charles kikoti

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
461
Reaction score
121
Cm yangu nilikuwa nalock kwa phone pattern nimejalibu kuingia imenigomea.Mala ya mwisho inaniomba ni sign in kwa google account nikiingiza account inanijibu ivalid user name or password naombeni mnisaidie wana JF.
 
iphone ku unrock na Google jua litazunguka dunia.

Ni hivi angalia model ya simu yako vizuri tukusaidie. Toa betry kisha soma model no ya simu.
 
iphone ku unrock na Google jua litazunguka dunia.

Ni hivi angalia model ya simu yako vizuri tukusaidie. Toa betry kisha soma model no ya simu.

Mkuu iphone haichomoki betri kihivyo labda kama ni mchina
 
Mkuu model yake ni LG 540

A full reset is sometimes referred to as a hard reset. Perform a full reset when you want to clear all settings, programs and data from RAM.
Caution if you perform a full reset, your LG Smartphone returns to its default settings and looses all information that is not recorded in ROM.
(CAUTION! If you perform a factory (full) reset, all user applications and user data will be deleted. Please remember to back up any important data before performing a factory reset.)
To perform a factory (hard) reset:
Turn the power off.
Press and hold the following keys for over 5 seconds: Down volume key + + .
When the power turns on, release these keys
 

Sorry nimejaribu kushikiria hiyo key ya sauti ndo nikawasha inaleta neno download mode harafu inatulia tu hivohivo msaada wenu zaidi.Pia naomba au sijajua hizo ++. zinamaanisha nini? heshima kwenu.
 
Kiukweli nawapa salute wote walioonyesha nia yakunisaidia Mungu awe nanyi.But njia niliotumia nihii,kuwasha cm wakati inawaka unashikiria kitufe cha kuongezea sauti,home,pamoja na easy seach key kwapamoja mbaka ikiwaka ndipo unaendelea na maelezo yatakayo fuata.Pamoja sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…