Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,048
Jamani wana Jf naombeni mnisaidie,
nahitaji kununua computer leo lakini sijajua nianzie wapi?
au ninunue computer gani?
hivyo basi naombeni mnisaidie wataaalamu ninunue ipi?
na ni vitu gani vya kuzingatia vya umuhimu vya kuangalia.
nna Tsh 650,000wakuu!!!