araway
JF-Expert Member
- Sep 26, 2007
- 534
- 147
wakuu nilijaribu kusoma pascal programing miaka ya nyuma, sikuweza kuendelea nayo na kwa bahati mbaya ninamdogo wangu kafuata mkondo huo katika pitiapitia kakutana na nondo zangu za pascal programing lakini kwa kweli sikumbuki kitu. kaniomba nimsaidie assignmet yake ya mambo ya programing lakini imenishinda naomba msaada waungwana niweze kumsaidia.
assigment yenyewe inasema hivi
create a program which allows a user to perform either of two operatons in looping to culculate the are of the circle
tumia - DO WHILE Loop, na REPEAT UNTIL Loop
hapa anataka flowchart na pseudo-code zake
nategemea mssaada kutoka kwenu wakuu