Msaada wako tafadhali

ABDUL JIRANI

Senior Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
176
Reaction score
52
Hiki kipindi kila mtu anatangaza nia ya kugombea uraisi hivyo na mimi nimeona nitangaze nia yangu ya kutaka kutangaza uraisi wa JF
Support yenu wadau
Na nikipita sheria ya makosa ya mitandao naifuta maana wanatubana
Yaan hata hatupumui
Nichaguen jamani muwe huru
 

Naomba uandike kwa kiingereza huu huu ujumbe wako ntakupa kura. Ni moja ya kipimo kua atayetuongoza sio kilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…