Msaada: Wajuzi wa magari na bei zake.

Msaada: Wajuzi wa magari na bei zake.

Manselly

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
456
Reaction score
130
salaam wadau.
Wataalam wa bei za magari na wajanja wote wa mjini hebu nipeni bei hata kama sio fixed lakini makadirio. Nahitaji pickup nzuri tone 1 (tani moja) kwa show room za Dar es salaam ni Tsh ngapi? Niko kigoma mbali sn na dsm so naomba msiniambie kwanini nisiende show room kuuliza nahitaji kujipanga kabla sijaja mjini.
Iwe Nissan Datsun model nzuri au ya Toyota pickup please nipeni bei zake mi sio mzoefu wa magari.
Ntashukuru sn kupata mwanga. Pia mnishauri model ipi ni nzuri na wapi ntapata
 
Tafuta toyota 2.4 au 2.8 kama huna safari sana! !!!!
Kama una safari tafuta petrol 2rz au 3rz engines!!!
3l diesel pia poa ila vikombe na shilingi mimi sivipendi!!!!

Angalia mitandaoni ili upate picha ya unachotaka na bei zake!!
CYBERTEQ, RRONDO, MANI, Patricn, MANI, @
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hivyo vikombe na shilingi ndio vipi. Lakini bei za toyota pick up zipo juu.
 
Last edited by a moderator:
Tafuta toyota 2.4 au 2.8 kama huna safari sana! !!!!
Kama una safari tafuta petrol 2rz au 3rz engines!!!
3l diesel pia poa ila vikombe na shilingi mimi sivipendi!!!!

Angalia mitandaoni ili upate picha ya unachotaka na bei zake!!
CYBERTEQ, RRONDO, MANI, Patricn, MANI, @

mkuu, nondo ulizompa zinatosha kwa window shopping, kama anataka bei awe specific zaidi tutamsaidia.
 
Tafuta toyota 2.4 au 2.8 kama huna safari sana! !!!!
Kama una safari tafuta petrol 2rz au 3rz engines!!!
3l diesel pia poa ila vikombe na shilingi mimi sivipendi!!!!

Angalia mitandaoni ili upate picha ya unachotaka na bei zake!!
CYBERTEQ, RRONDO, MANI, Patricn, MANI, @

duh mkuu umeniacha umeongea technical terms tupu mtu wa kigoma umeniacha mbaliiiiiiiiii. Plz rahisisha kdogo mkuu am a biginer in dis field najuaga kuendesha tu. Nataka kuitumia kumpa kijana azungushie tupate hela ya kula kipindi naendelea na mishe zingine
 
Last edited by a moderator:
pickup kwa kubebea mizigo kijiweni ipi inafaa
 
Haujawa specific, unataka manual, au auto, diesel au petrol,nk nk ...
Binafsi sijawahi kununua gari showroom ila sitegemei kama itakuwa chini ya milioni 17. Binafsi nakushauri kama ni gari ya kazi basi tafuta wajuzi waaminifu kama unao uko dar wakutaftie kwa mtu/second hand...sana sana kwa wahindi zinakuwa zimepaki uhani tu...waweza bahatisha nzuri ya price chini ya 10m ila kama uko vizuri basi ingia showroom. Nakushauri ivi kwa kuwa hata kama imetumika kama vile Toyota hilux na bodi iko vizuri chukua maana hizi gari sio pasua kichwa na zinatengenezeka cheaply. Kama ungekuwa unaagiza ungepata iliyo bora zaidi ila uwe na bajeti ya kuanzia 14milioni kuendelea...

Tafuta RNZ models au YN80 zitakufaa.
 
nimepata kitu hapa thanx alot ndugu. So second hand nikiwa na kuanzia mil 10 zinashikika tu. Dah poa mwana gud idea
 
kwa uzoefu wangu mdogo pickup nahitaji iwe manual ndo poa. Ishu ya diesel au petrol cjajua ipi nzuri japo naskia kuwa ya petrol inakuaga nyepesi sn na inachanganya mapema speed tofaut na disel wajuzi semeni neno hapa yan mpaka mwisho wa huu uzi ni utekelezaji tu
 
kabisa mkuu, mimi nilimnunuliamzee kwa 11m miaka 4 iliyopita ila mpaka leo ni kama mpya tu
 
Toyota the minimum price is 25 ml na hizo datsun not less tha 18 ml
 
kwa uzoefu wangu mdogo pickup nahitaji iwe manual ndo poa. Ishu ya diesel au petrol cjajua ipi nzuri japo naskia kuwa ya petrol inakuaga nyepesi sn na inachanganya mapema speed tofaut na disel wajuzi semeni neno hapa yan mpaka mwisho wa huu uzi ni utekelezaji tu

Petrol is much better haisumbui
 
Back
Top Bottom