Msaada: Wajuzi wa computer

Sasa itategemea na Upgrading unayotaka. Maaana Graphic zinapimwa kwa RAM, Resolution na Speed.

Ila GPU zina bei mzee ujipange tuuu. Inaweza kukucost bei ya hiyo Desktop na zaidi
Mkuu nataka graphic card 2gb naweza kuipata kwa bei gani na wapi hata kama sio mpya?
Msaada tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sehemu nimeona tangazo hili ni 2gb vp hapo kwenye bei ni sahihi au naweza pata chini ya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama upo dar nenda Kko au Machinga complex kwa used. Pia maduka ya posta utapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…