Hii inajitegemea au kabla sijanunua niangalie kama ipo ndan?Iko poa tuu. Nunua dedicated GPU/ Graphic Accelerator for better Gaming experience
Haaaa...asante mkuu, huko njema lakinNimemuacha Anakunywa chai canteen anakuja
Yaweza cost kama bei ganiHapana huwezi kuikuta. Intel CPU zina built in GPU so far haitakufaa sana kama ww ni Advance Gamer.
Hivyo basi kama unataka mambo mazuri Nunua GPU uiweke ndani
Sasa itategemea na Upgrading unayotaka. Maaana Graphic zinapimwa kwa RAM, Resolution na Speed.
DuhSasa itategemea na Upgrading unayotaka. Maaana Graphic zinapimwa kwa RAM, Resolution na Speed.
Ila GPU zina bei mzee ujipange tuuu. Inaweza kukucost bei ya hiyo Desktop na zaidi
Kama alivyokujibu mkuu hapo juu imetulia hio desktop kwa bei ila utahitaji gpu kuifanya iwe bora zaidi.Nvidia GeForce GTX 1060. $249.99. View Deal. ...
Nvidia GeForce GTX 1070. $369.99. View Deal. ...
Nvidia GeForce GTX 1070 Ti. $379.99. View Deal. ...
Geforce RTX 2070. $499.99. ...
GeForce RTX 2080. $789. ...
Nvidia GeForce RTX 2080 Ti. $1393. ...
AMD Radeon RX 560 4GB. $89.90. ...
AMD Radeon RX 570. $144.99.
Duh! Balaa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, kwahiyo ukiondoa gpu ambayo unaweza kuifanyia modification, vitu vingine viko poa kwa magame makubwa?Kama alivyokujibu mkuu hapo juu imetulia hio desktop kwa bei ila utahitaji gpu kuifanya iwe bora zaidi.
Hizo sff pc power supply yake inakuwa ni watts 280 ama 300 hivi hivyo si kila gpu itakaa kwenye hio desktop, kifupi ulizozitaja zote hazitakaa.
Kwa gpu nzuri za sff ni kama
-Nvidia gtx 750ti
-Amd rx 550
Hizo ndio best ukilinganisha perfomance na matumizi ya umeme.
Sio yote ila games nyingi utacheza,Asante mkuu, kwahiyo ukiondoa gpu ambayo unaweza kuifanyia modification, vitu vingine viko poa kwa magame makubwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hizi zetu za mkononi ama zile za madukani ambazo sio sealed ni kama 60,000 hivi.Wadau naomba kuuliza kuwa HDD 500GB SATA ya laptop naweza kuipata kwa bei gani.
Asanteni na samahanini kwa kuingilia Uzi.....
Iko poa hii hapo gtx 750ti au 1050ti fresh na ram unaongeza jumla iwe 12-16 gb mashine inakuwa imetulia.Kwa wale wanaojua vizuri computer hasa specification hii mnaionaje? Je ni nzuri upande wa speed, graphics na uwezo wa kusukuma pc games kubwa, graphic design nkView attachment 1003332
Sent using Jamii Forums mobile app
Cpu tupu wamesema 380,000/=Iko poa hii hapo gtx 750ti au 1050ti fresh na ram unaongeza jumla iwe 12-16 gb mashine inakuwa imetulia.
Kama unatumia tv inakuwa poa ukinunua cpu tu. Naona wanaiuza 288000.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app