nikwel waheshimiwa nakiri kuwa safari yangu bdo ni ndefu yanibdi kujiendleza kielimu., tatzo kubwa linalonikabili nikutokuwa na fees yakulipia masomo yangu kwan hata mwaka jana nlituma maombi ya kuendlea namasomo pale mzumbe nikachaguliwa lakn tatzo kubwa likawa fedha za kulipia. ndyo maana waungwana nikaamua kutafuta japo kibarua chochote ktakachopatikana ili niweze pia hata kuhimili kulipia fees yachuo