Msaada wadau

Msaada wadau

khalidi wazir

Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Naomba mnielekeze jinsi ya kuondowa sms inayo nijia pindi nikiingiza flash
Huwa inaniambia niformat na huwa kila nikichomeka flash inaniletea hiyo sms
 
Inafomatika fresh ukiitia vitu ukichomowa ukija kuchomeka tena inakwbia fomart
 
Hiyo frash yako sio feki? Na je inafanya hivi kenye Pc yako tu..
 
Back
Top Bottom