M mwamba wa magharibi Member Joined Nov 3, 2016 Posts 13 Reaction score 10 Nov 3, 2016 #1 Nshawah kuajiriwa serikalini kama mwalimu nikaacha nichukue hatua gani au ni process gani kurudi tena
Nshawah kuajiriwa serikalini kama mwalimu nikaacha nichukue hatua gani au ni process gani kurudi tena
Amoxlin JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,782 Reaction score 4,118 Nov 3, 2016 #2 Fika tamisemi utapata maelekezo tosha.
M marquis nobleman New Member Joined Nov 6, 2016 Posts 3 Reaction score 0 Nov 6, 2016 #3 Jaman msaada wenu profile yangu haifunguki na nilitkiwa niangalie matokeo kama nimechaguliwa nafanyaje na wanafunga leo tarehe 6"mfumo wao
Jaman msaada wenu profile yangu haifunguki na nilitkiwa niangalie matokeo kama nimechaguliwa nafanyaje na wanafunga leo tarehe 6"mfumo wao