habari zenu wana jf. Natumia Samsung Omnia Pro b7330 ni window phone, window yake ni 6.5 standard ila nashindwa kuweka program kama whatsapp, viber na nyingine nyingi ambazo ni nzuri kwa mawasiliano na kushare files. kitu kingine makert place yake haifunguki,inajibu check internet setting and trry later. Natumia internet ila kama jf,fb lakini sio installed programs naandika web address. Naomba msaada kwa anayefahamu jinsi ya kufanya nami ni enjoy hizo programs.