kimangalaa Member Joined May 27, 2013 Posts 34 Reaction score 3 Jul 6, 2013 #1 Nasikia watu wakisema kuna yes au no ktk profile zao lkn mie cjaona hivyo n makosa nimefanya au zaid naona not yet processed
Nasikia watu wakisema kuna yes au no ktk profile zao lkn mie cjaona hivyo n makosa nimefanya au zaid naona not yet processed
Darius JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,951 Reaction score 320 Jul 6, 2013 #2 kimangalaa said: Nasikia watu wakisema kuna yes au no ktk profile zao lkn mie cjaona hivyo n makosa nimefanya au zaid naona not yet processed Click to expand... column inayofuata baada ya not yet processed umeandikiwaje?
kimangalaa said: Nasikia watu wakisema kuna yes au no ktk profile zao lkn mie cjaona hivyo n makosa nimefanya au zaid naona not yet processed Click to expand... column inayofuata baada ya not yet processed umeandikiwaje?
kimangalaa Member Joined May 27, 2013 Posts 34 Reaction score 3 Jul 6, 2013 Thread starter #3 Checking in progress
Darius JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,951 Reaction score 320 Jul 6, 2013 #4 kimangalaa said: Checking in progress Click to expand... ucjar bdo wanaangalia matokeo yako kma umekidhi vigezo vya hzo koz ulizochagua, then wakimalza kuchek watakuambia kama ni 'yes' kwa ulizokidh na 'no' kwa ulizovamia ambzo haziendan na matokeo yako
kimangalaa said: Checking in progress Click to expand... ucjar bdo wanaangalia matokeo yako kma umekidhi vigezo vya hzo koz ulizochagua, then wakimalza kuchek watakuambia kama ni 'yes' kwa ulizokidh na 'no' kwa ulizovamia ambzo haziendan na matokeo yako
mohammad_othar JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 247 Reaction score 42 Jul 6, 2013 #5 Kuna sehemu katika hio page inatakiwa ubonyeze press here then itabadilika from checking in progress to YES au NO
Kuna sehemu katika hio page inatakiwa ubonyeze press here then itabadilika from checking in progress to YES au NO
kimangalaa Member Joined May 27, 2013 Posts 34 Reaction score 3 Jul 7, 2013 Thread starter #6 Imekubali lkn ndo yes 2 na no 3 af mda wa kubadili ushaisha vp ntapata chuo kweli?
Darius JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,951 Reaction score 320 Jul 8, 2013 #7 kimangalaa said: Imekubali lkn ndo yes 2 na no 3 af mda wa kubadili ushaisha vp ntapata chuo kweli? Click to expand... chuo utapta lkn inaweza ikawa co miongoni mwa ulivyo chagua
kimangalaa said: Imekubali lkn ndo yes 2 na no 3 af mda wa kubadili ushaisha vp ntapata chuo kweli? Click to expand... chuo utapta lkn inaweza ikawa co miongoni mwa ulivyo chagua