Msaada wadau PC yangu inanisumbua upande wa kuinstall program

Msaada wadau PC yangu inanisumbua upande wa kuinstall program

medrickrobert

Member
Joined
Apr 25, 2017
Posts
58
Reaction score
9
Ni aina ya dell but ukijaribu kuinstall program inaandika imecorrupt program hiyo hiyo nikiweka kwenye pc nyingine inakubali, nimepiga window hadi mara mbili nikijua nitamaliza tatizo but naona yaleyale, baadhi unakuta zinakubali ila ukifungua haifanyi kazi au inaji close, plz mwenye ujuzi na hili anihelp
 
Download latest program kupitia internet kama una moderm then install.
 
Download latest program kupitia internet kama una moderm then install.
hivi hili tatizo linatokana na nini mkuu na solution yake nini ili ikubali program zote maana mwanzo ilikuwa inakubali fresh
 
Ulipotoa window ukaweka mpya uliformat disk zote au ile ya window tu? yan disk c by default.kama kuna disk ingine ilibak inavitu inawekekana kukawa na virus mbaya ana repilicate anakula mafile...tafuta antivirus aina ya kasperky uweke af uskan computer nzima.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Kama hiyo inayozingua ni word ifanye iwe ya kwanza baada ya kupiga window
 
Ulipotoa window ukaweka mpya uliformat disk zote au ile ya window tu? yan disk c by default.kama kuna disk ingine ilibak inavitu inawekekana kukawa na virus mbaya ana repilicate anakula mafile...tafuta antivirus aina ya kasperky uweke af uskan computer nzima.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
thax mkuu wacha nijaribu hilo zoezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom