Msaada wadau nmechemka

Tozii Nyambii

Senior Member
Apr 1, 2017
144
77
Habar wana jukuwa hili pendwa

Naomba kujuzwa jinsi ya Ku add image kwenye HTML kwa kutumia notepad ++ or notepad ya kawaida asanteni pamoja na slideshow
Wajuzi wa webdevelopers naombeni mnijuze
Kijana wenu ndo naanza hivo sitaki ktmia adobe Dreamweaver,wala adobe virtual studio, au brackets ni kwenye note pad

Asanteni.
 
Back
Top Bottom