bunyebunye
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 530
- 677
windows 10 direct link >> http://ftp.unicamp.br/pub/apoio/Win10/iso64/Windows10.isoHeshima kwenu wakuu.
Wakuu naomba kwa ambaye anaweza kunisaidia nipate Windows 10 anisaidie kama kuna namna anaweza kunitumia online au kuna link ambayo naweza kudownload. Niko mbali na mji kwa sasa natumia Windows 8 lakini inanitaka nifanye repair maana siwezi kuinstall program nyingine na kila nikitaka kufanya hivyo computer inajizima na kuwaka tena.
Nawasilisha.
Asante sana mkuuwindows 10 direct link >> http://ftp.unicamp.br/pub/apoio/Win10/iso64/Windows10.iso
Samahani mkuu, je hii window iko na keys kabisa? niliwahi kudownload window kwenye site flani mwisho wa siku ikaniomba keys nikawa sina na biashara ikaishia hapo hapowindows 10 direct link >> http://ftp.unicamp.br/pub/apoio/Win10/iso64/Windows10.iso
uta-skip pate pa kuweka keys then baadae utakuja kui activate kwa kutumia kmspicoSamahani mkuu, je hii window iko na keys kabisa? niliwahi kudownload window kwenye site flani mwisho wa siku ikaniomba keys nikawa sina na biashara ikaishia hapo hapo
Tafuta software za kuhack uweze kuregist hiyo window na itakuwa freshuta-skip pate pa kuweka keys then baadae utakuja kui activate kwa kutumia kmspico
ingia humu 1337x.st/applicationHeshima kwenu wakuu.