Kuna simu yangu naipenda kwa kweli ni Samsung galaxy ace gt5830i. Kila nikiweka memory card mpya nikipiga picture kama 15 na video 2 nikiongeza picture zinakuwa black zote.
Nishaiweka memory card kama 5 ila zote zinakua hivyo hivyo mpaka nimeamua kununua htc one h plus na haikai na chaji. Samsung inakaa na chaji tatizo inaua memory card.
Naomba msaada kwa anayefahamu hili tatizo. Asanteni