Airtel wazushi sana. Kwenye tangazo lao gazetini inaonyesha bei ni shs 300,000 lakini ukienda kwenye maduka yao wanakwambia bei ni shs 350,000. Kwa anayetaka kununua aende Shoppers Plaza kuna agent wa Delta Communication anauza shs 320,000 ukikomaa hadi 300,000 anakupa.