Mimi bro napenda ICT cc kuna watu wananiambia bora uchukue koz za biashara hii eti haina ishu cc hapo bro nik njia pandaNi kweli ila angalia wewe mwenyeo mapendeleo yako unataka kusoma nini cha muhimu ujiongeze tu utakula hela sana. Ila ukingoja ajira serikalini utangoja sana.
Ila mm ninachojua kila koz kwa sasa ajira ni ngumu,sasa hawa watu ciwaelew wanasem ukipiga ICT utaishia kupiga window pia kuingiza nyimbo cc sijui kuna ukweli bro hapoNi kweli ila angalia wewe mwenyeo mapendeleo yako unataka kusoma nini cha muhimu ujiongeze tu utakula hela sana. Ila ukingoja ajira serikalini utangoja sana.
Utafutaji wako na uhangaikaji wako ndio utakaokupa pesa bro.Ila mm ninachojua kila koz kwa sasa ajira ni ngumu,sasa hawa watu ciwaelew wanasem ukipiga ICT utaishia kupiga window pia kuingiza nyimbo cc sijui kuna ukweli bro hapo
Kweli kabisa bro je ni field gan ya IT ambayo mtu akiwa mjanja nayo itampa mtu uwanja mkubwa wa kujiajiri au kuajiriwa broSoma kile ambacho unapenda ndipo utakapokuwa na hamu ya kufanyaakubwa katika hicho unachopenda. Hyo biashara pia nayo ni majanga makubwa tena sana kwa saivi.
Mi sio mjuzi sana uko najuwa in general tuKweli kabisa bro je ni field gan ya IT ambayo mtu akiwa mjanja nayo itampa mtu uwanja mkubwa wa kujiajiri au kuajiriwa bro
Bro pale siwanatakaga mtu science aliyefaulu phy na chem au inakuaje hapoNNenda pale chuo cha maji Ubongo i thin unaweza kudahiliwa kwa hcho kiwango chako
Poa poa broMi sio mjuzi sana uko najuwa in general tu
MaleWewe ni Me/ Ke
Tuanzie hapo